LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Huyu ni Haroun Rashid Juma Kahena almaarufu kama Inspector Haroun. Hii ilikuwa jana, kwenye mnuso wa Iftar ulioandaliwa Ikulu kwa hisani ya Mh. Rais Jakaya Kikwete.
Kwa picha zaidi za tukio hilo, tembelea : http://www.mungwakabili.blogspot.com
Kwa picha zaidi za tukio hilo, tembelea : http://www.mungwakabili.blogspot.com