Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,850 Mar 15, 2016 #1 Mtoto wa siku mitano ameibwa katika Hospitali ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha. Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia leo wakati mama yake akiwa amelala wodini. Polisi wanasema uchunguzi umeanza.
Mtoto wa siku mitano ameibwa katika Hospitali ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha. Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia leo wakati mama yake akiwa amelala wodini. Polisi wanasema uchunguzi umeanza.
kson m JF-Expert Member Jan 24, 2014 6,667 3,051 Mar 15, 2016 #2 BABA YUPO WAPI? MTOTO ALIKUWA WAPI HADI AKAIBWA ?
Gunst JF-Expert Member Jan 2, 2015 2,988 5,623 Mar 15, 2016 #3 Rekebisha heading mkuu, miaka 5 au siku5?
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,731 Mar 15, 2016 #4 Dah Mungu amlinde asije angukia kwenye mikono ya watu wanaotaka kutambikia migodini