Mtoto wa Mu7 anaomba friendly match

Mtoto wa Mu7 anaomba friendly match

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.

Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya kuwadhibiti watu wanaopigania haki zao kwenye Taifa lao then yeye anawatazama kwa jicho la kuwa ni waovu.

Hii nikama kusema lile deal lao la mwanzo (wale wanajeshi waliyopeana kimyakimya kutoka Uganda) nikama wanaona haujaleta matokeo ya moja kwa moja baada ya kudhibitiwa kistaarabu tu sasa wanataka kuleta rasmi .

Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .

Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .

Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.

Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .

Namukuhakikishia huyu choko anapapaswa misa ya kwanza tu.
FB_IMG_1761942805667.jpg
 
Hii ni dharau na dhihaka kwa Watanzania na Jeshi lao kwa kiwango cha juu kabisa.

Na huyu mama akifanikiwa kubaki madarakani its obvious itakuwa ni kwa sababu ya huyu mpumbavu.

TUlidharauliwa na Kagame ila siamini kama Jeshi letu limefikia kudharauliqa kwa kiwango hiki hadi na huyu mtoto wa Museven.
 
Na haya ndo matokeo ya kuwa na Jenerali wa hovyo kama Mkunda
 
Haya nimatokeo ya chama cha siasa kukaa madarakani kwa muda mrefu kiasi cha kuathiri ule mfumo wa mgawanyo wakimamlaka (separation of power) kiasi inafika vyombo vyote kuanzia Bunge ,Mahakama na serikali vyote vipo kwenye bakuli moja , usiwaze tutavuka tu hapa , Jeshi bado linawatu imara na waaminifu kwa Taifa lao .
Hii ni dharau na dhihaka kwa Watanzania na Jeshi lao kwa kiwango cha juu kabisa.

Na huyu mama akifanikiwa kubaki madarakani its obvious itakuwa ni kwa sababu ya huyu mpumbavu.

TUlidharauliwa na Kagame ila siamini kama Jeshi letu limefikia kudharauliqa kwa kiwango hiki hadi na huyu mtoto wa Museven.

Na haya ndo matokeo ya kuwa na Jenerali wa hovyo kama Mkunda
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .

Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .

Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.

Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .
Hivi vyeo vya ma-General mbona vimekuwa vya kipuuzi puuzi namna hii siku hizi?

Nimeku-quote hapo juu kukusihi uachane na mchemuko huu unaokuingia mwilini mwako. Hakuna jambo la msingi sana kueleza haya unayo yaeleza hapa. Huu siyo mchezo wa kupashana habari. Hawa watu, kama huyo mvuta bangi, wanaua watu hawa. Hakuna lolote la kufurahia katika mashindano ya namna hiyo. Huu siyo ushabiki wa Simba na Yanga.

Ninakuomba kwa heshima, tulizana.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hii ni dharau na dhihaka kwa Watanzania na Jeshi lao kwa kiwango cha juu kabisa.

Na huyu mama akifanikiwa kubaki madarakani its obvious itakuwa ni kwa sababu ya huyu mpumbavu.

TUlidharauliwa na Kagame ila siamini kama Jeshi letu limefikia kudharauliqa kwa kiwango hiki hadi na huyu mtoto wa Museven.
Ni Jeshi la hovyo, kuliko wananchi wenyewe.

The security weakness exposed ya nchi is beyond explanation, kama waganda wanaweza ingia Tanzania na kufanya kama camouflage killings.

Ni sawa na nchi aina vyombo vya ulinzi wala usalama; hakuna tofauti na East Congo tena.

Sasa si bora JWTZ wangewageuzia risasi raia wenyewe, kuliko kuachia jeshi la kigeni.

Imagine kwa wazungu Russia akifanya assassination ya defectors wa KGB walio nchi za EUROPĘ kunaibuka diplomatic row kubwa sana mpaka ya kufukuziana diplomats.

Kwa makosa ya kufanya ujasusi nchini za Europe lazima waweke demands za wahusika warudishwe nchi husika wakutane na mkono wa sheria kwa kuingilia mipaka yao. Hapo wameua former KGB tu kwa jinsi wanavyochukulia security ya nchi yao serious

Sasa sisi tena watu wanaingiza jeshi na generał wao anajitapa mitandaoni; very sad hakuna vyombo vya ulinzi makini if that’s the case.

Sasa waliapa kitu gani kulinda mipaka ya Tanzania; kama wanasiasa wanaweza compromise usalama wa nchi kwa ulafi wao.

Jamaa nao hovyo kweli kweli
 
☝️Thats how serious hawa wenzetu wanachukulia sovereignty zao. Ulizuka mgogoro mkubwa kati ya EU/UK na Russia baada ya assassination ya ‘Alexander Litvinenko’.

Hawa wetu mkuu wa majeshi ya nchi jirani anaropoka hadharani ujinga na pengine kaingiza watu wake kufanya mauaji wapo kimya.

Uwa nashangaa ukisoma mada za JF watanzania wanavyojisifia security prowess ya nchi, wakati wanasiasa majizi machache wanaweza igeuza nchi kuwa ya hovyo kama East Congo in a matter of day kama tunavyojionea.

Hii ni aibu kubwa kwa JWTZ na vyombo vyote vya ulinzi Tanzania.
 
Hivi vyeo vya ma-General mbona vimekuwa vya kipuuzi puuzi namna hii siku hizi?
Hii ni duniani kote, vyeo kijeshi huishia 3 star general, zaidi ya hapo ni vyeo vya kisiasa. Haya ni maneno ya Col. Douglas MacGregor.
 
General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.

Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya kuwadhibiti watu wanaopigania haki zao kwenye Taifa lao then yeye anawatazama kwa jicho la kuwa ni waovu.

Hii nikama kusema lile deal lao la mwanzo (wale wanajeshi waliyopeana kimyakimya kutoka Uganda) nikama wanaona haujaleta matokeo ya moja kwa moja baada ya kudhibitiwa kistaarabu tu sasa wanataka kuleta rasmi .

Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .

Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .

Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.

Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .

Namukuhakikishia huyu choko anapapaswa misa ya kwanza tu.
View attachment 3496364
let him try.
 
Hivi Uganda wana Jeshi au Migambo, ni vita vita au mapigano yapi walishawahi kushinda 😂😂, ni hivyo tu wamekuja kuuwa Tz Ila sio kupigana maana wanashindana na watu wasio na silaha ni sawa hawa polisi wetu bila silaha ni WEUPEeee, na watu wanamjua huyo jamaa ni mropokaji tu, Ngoja tuikomboe nchi alafu aombe mechi, anafikiri Watz ni Waganda kwaajili ni nchi inayoongozwa na familia yake Lea century sasa 😁
 
Daaah mkuu heri wewe unapata nguvu ya kucheka na kucheka I hope haupo nchini na kama haupo haya unayoyaona akili yako inakufanya uone ni AI tu na si uhalisia!
 
General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.

Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya kuwadhibiti watu wanaopigania haki zao kwenye Taifa lao then yeye anawatazama kwa jicho la kuwa ni waovu.

Hii nikama kusema lile deal lao la mwanzo (wale wanajeshi waliyopeana kimyakimya kutoka Uganda) nikama wanaona haujaleta matokeo ya moja kwa moja baada ya kudhibitiwa kistaarabu tu sasa wanataka kuleta rasmi .

Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .

Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .

Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.

Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .

Namukuhakikishia huyu choko anapapaswa misa ya kwanza tu.
View attachment 3496364
Huyu mjinga anasahau amekulia mikononi mwetu....

Amekojolea udongo wa Tanzania.
 
Hii ni duniani kote, vyeo kijeshi huishia 3 star general, zaidi ya hapo ni vyeo vya kisiasa. Haya ni maneno ya Col. Douglas MacGregor.
Inabidi nikubaliane na unayosema mkuu, maana hata huyo Col Magwega simjui, na alichokisema kilitokana na nini hasa!
Ndio kama akina General Collin Powell hao bila shaka aliokuwa akiwazungumzia, Magwega, au siyo?
 
Uwa nashangaa ukisoma mada za JF watanzania wanavyojisifia security prowess ya nchi, wakati wanasiasa majizi machache wanaweza igeuza nchi kuwa ya hovyo kama East Congo in a matter of day kama tunavyojionea.
Sasa sielewi wewe utawashangaa wenzio, kama hata huwezi kuwa na akili ndogo tu ya kutambua kwamba Samia anatumia 'template' ile ile anayoitumia M7 kuendelea kuwa madarakani kwa nguvu.

Inahitaji akili kubwa kiasi gani kulijuwa hili, mkuu 'Quimby'?

Si ni bora tukubali tu kwamba yale ya Uganda, sasa ndiyo yameletwa hapa Tanzania; na kama nasi tutakuwa kama wenzetu waganda, basi tujizatiti tu kuwa na Museveni wetu wa kudumu?

Just take a moment to reflect on how Museveni has turned Uganda into his own property by systematic patronizing and buying off some individuals.

I am honestly offering you a reasonable chance of redeeming yourself.
 
Back
Top Bottom