Nduguuu wala usiseeme hivyo kuna mazingira kaka mama kazi baba kazi utamwachia bibi n KUWAOMBEA SNA kila.Mara SHETANI Mara NYINGI huwatumia sana na Mbayaa ZAIDI WAZAZI wamesahauu hata KWENYE MAOMBI wale n part ya familia yakoo..ukifungua mango moja n shidaa..That's why I don't dream to have beki tatu
mafunzo kwa wasichana wa kazi ya muhimu hasa kwa wanao achiwa watoto.yawezekana mtoto mwenyewe ndio aliye kula mchele baada ya beki 3 kumuachaniza karibu na mchele sizan kama alimlisha ila hakuwa makini kumchunga
Hapo hata ka angekufa kwa kunywa uji mngesema ,kafa kwa kulazimishwa kunywa uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguuu wala usiseeme hivyo kuna mazingira kaka mama kazi baba kazi utamwachia bibi n KUWAOMBEA SNA kila.Mara SHETANI Mara NYINGI huwatumia sana na Mbayaa ZAIDI WAZAZI wamesahauu hata KWENYE MAOMBI wale n part ya familia yakoo..ukifungua mango moja n shidaa..
Sio wote wana kiwango chako cha elimu na ufahamu. Tujifunze kuvumiliana na kupendana.Jaribu kuandika vizuri basi. Huu ni uzi wako wa tatu nausoma lakini kwa kweli uandishi wako hauridhishi. Ukiandika jaribu kupitia tena andiko lako kabla ya kutuma
Sent using Jamii Forums mobile app