Mtoto wa miez 9 hapendi kula

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,023
12,547
Hana ugonjwa wowote ni chakula gani kizur kinamfaa ukizingatia umri wake, yeye ni juice na maziwa ya mama tu
 
Hana ugonjwa wowote ni chakula gani kizur kinamfaa ukizingatia umri wake, yy ni juice na maziwa ya mama tu
Ugonjwa mkuuu hauonekan kwa mtot kutopandish joto Wala kutocheza usichulie nadharia fika nae hospital.

Mbili mama yake amkanye kunyonya mfano asimpe anyone wala juis asinywe njaa itakap mkabili mpe chakula muone
 
Back
Top Bottom