Mtoto wa miaka miwili hahisi maumivu, nini tatizo?

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,512
Nina mtoto wa miaka miwili wa kiume, nimegundua kwamba hahisi maumivu either akidondoka, akipigwa, akichomwa sindano nk. Nimejaribu kumchunguza kwa mda mrefu tangu akiwa mchanga kabisa. Akikosa ukamfinya anacheka ila ukimkaripia analia . Naomba kuuliza kwa wataalam kama kuna watu duniani wapo iv?

Duc In Altum.
 
Kwa hali hiyo kuna mambo mengi ya kutazama na kuangalia Kama ni hasa chanzo,maana hali hiyo ni ya hatari.

Kwa maaana uwezo Wa mtu kusikia maumivu ni muhimu katika maisha zaidi ya vile watu wanavyoweza dhania.

Maumivu hutupa taarifa Kuwa La kuna tatizo katika kiungo au jeraha katika sehemu ya mailing mwil watu.

Kwa mfano
Ukiungua au kunyaga moto upatapo maumivu hukusaidia wewe kuchukua hatua kuepusha mwili wako usizidi kuathirika.

Yafuatayo huenda yakawa yamechangia kupekea tatizo hili...

Unless utoe maelezo zaidi...

1. Kuna Historia ya mtu Kuwa na ugonjwa Wa ukoma katika familia?
2. Ulipata magonjwa gani wakati una ujauzito Wa uyo mtoto?
3. Magonjwa yapi mtoto alishawahi Kuwa nayo tangu kuzaliwa...?
4. Je? Alizaliwa na shida yeyote?
5. Je! Ukiacha hayo anatatizo lingine ?
 
Mkuu mtafutie dawa pia muangalie maana anaweza kujitafuna ulimi na viungo vingine vya mwili kwa sababu yeye haihisi maumivu.

Mara nyingi inatokana na matatizo ya wazazi na kuna tiba.
 
Kwa hali hiyo kuna mambo mengi ya kutazama na kuangalia Kama ni hasa chanzo,maana hali hiyo ni ya hatari.

Kwa maaana uwezo Wa mtu kusikia maumivu ni muhimu katika maisha zaidi ya vile watu wanavyoweza dhania.

Maumivu hutupa taarifa Kuwa La kuna tatizo katika kiungo au jeraha katika sehemu ya mailing mwil watu.

Kwa mfano
Ukiungua au kunyaga moto upatapo maumivu hukusaidia wewe kuchukua hatua kuepusha mwili wako usizidi kuathirika.

Yafuatayo huenda yakawa yamechangia kupekea tatizo hili...

Unless utoe maelezo zaidi...

1. Kuna Historia ya mtu Kuwa na ugonjwa Wa ukoma katika familia?
2. Ulipata magonjwa gani wakati una ujauzito Wa uyo mtoto?
3. Magonjwa yapi mtoto alishawahi Kuwa nayo tangu kuzaliwa...?
4. Je? Alizaliwa na shida yeyote?
5. Je! Ukiacha hayo anatatizo lingine ?
 
Pain recognition centers kwenye CNS na au nociceptors zina shida

Nadhani ni busara kumpeleka hospitali kwa neurologists as pain ni kitu phenomenon muhimu sana kwa usalama wa mwili wa binadamu
 
Kwa hali hiyo kuna mambo mengi ya kutazama na kuangalia Kama ni hasa chanzo,maana hali hiyo ni ya hatari.

Kwa maaana uwezo Wa mtu kusikia maumivu ni muhimu katika maisha zaidi ya vile watu wanavyoweza dhania.

Maumivu hutupa taarifa Kuwa La kuna tatizo katika kiungo au jeraha katika sehemu ya mailing mwil watu.

Kwa mfano
Ukiungua au kunyaga moto upatapo maumivu hukusaidia wewe kuchukua hatua kuepusha mwili wako usizidi kuathirika.

Yafuatayo huenda yakawa yamechangia kupekea tatizo hili...

Unless utoe maelezo zaidi...

1. Kuna Historia ya mtu Kuwa na ugonjwa Wa ukoma katika familia?
2. Ulipata magonjwa gani wakati una ujauzito Wa uyo mtoto?
3. Magonjwa yapi mtoto alishawahi Kuwa nayo tangu kuzaliwa...?
4. Je? Alizaliwa na shida yeyote?
5. Je! Ukiacha hayo anatatizo lingine ?
Hajazaliwa na tatizo lolote na yupo active sana katika kila stage, kwa mfano sasa iv ana miaka 2 na mwez mmoja anaongea vizur bila shida yeyote na ni mchangamfu sana. Hakuna historia ya magonjwa ya kutisha kwenye familia zote mbili.

Duc In Altum.
 
Hospitali wamesemaje?
Nilimpeleka sanitas wakamwangalia kwa muda wa masaa machache wao wakasema haonyeshi kuwa na tatizo lolote na labda hiyo hali itaisha akikuwa zaidi japo nao waligundua kwamba anahis maumivu kwa mbali sanaaaaa.

Duc In Altum.
 
Hajazaliwa na tatizo lolote na yupo active sana katika kila stage, kwa mfano sasa iv ana miaka 2 na mwez mmoja anaongea vizur bila shida yeyote na ni mchangamfu sana. Hakuna historia ya magonjwa ya kutisha kwenye familia zote mbili.

Duc In Altum.
NDUGU,
Napenda kukupa maelezo machache na maoni yangu juu ya hali ya uyu mtoto.

Kwa Elimu na ufahamu nilio nayo na maelezo ulio toa,uyu mtoto anaweza akawa na medical condition iitwayo " Congenital Insensitivity To Pain" (CIP) ambayo kiukweli Huwa ni nadra sana kumpata mtu takribani mtoto 1 Kati ya 125Million.

CIP ni Medical condition ambayo mtoto huzaliwa nayo. Hali hii husababishwa na mwili Wa mtoto kuzalisha aina fulani ya kemikali ambayo huzuia ubongo kutafsiri maumivu...

" Inability of the brain to perceive pain impulses from peripheral nerves"

Hali hii madaktari hujaribu kuitibu kwa kutumia dawa ambayo inaenda punguza utendaji kazi Wa hizi kemikali.
Atimaye kumrejesha katika hali ya kawaida..

Dawa hii huitwa Opioid Antagonist Naloxone. (Naloxone) mara Nyingi hupatikana katika mfumo Wa sindano.

Dawa hii pia hutumika kurejesha fahamu kwa wale walio na overdose ya madawa ya kulevya na kupoteza fahamu+ sensitivity, hupewa watoto waliozaliwa kwa upasuaji ambao dawa ya usingizi ambayo alichomwa mama huenda adi kwa mtoto na kum sadate,hivyo dawa hurejesha consciousness kwa mtoto. Inamatumizi mengi kiufupi....

Kama ukipata tena nafasi kwenda tena hospital, dodosa hili kwa Dr upate maoni yake. NOTE: HOSPITAL NA SI DISPENSARY OR HEALTH center.

Aksante.
Kila La kheri.
 
Asante ndugu kwa maelezo yako at least nimepata mwanga kuwa jambo hili lipo duniani, naishi Kibaha Pwani naomba unielekeze hospital yeyote Dar au Nairobi ambayo wanaweza kusolve tatizo hili.

Kwa kuwa Hali Kama hiyo ni nadra sana,Sina hakika ni hospital gani hapa Tz wanauwezo Wa kutibu hali hii.
Ila Muhimbili,najua kutakuwa na Specialist Wa kuweza kukusaidia.
Aksante!
 
Nitajipanga then nitawaona maana haina madhara kwake sanaaa, japo kama jana kwenye michezo yake alijigonga meno dam zinamtoka ila anacheka tu.

Pole kwake,
Kwa hali hiyo uwe extra makini nae kwa ajari zenye zinaeza epukika.
Na umwepushe na mazingira hatarishi.
Kila la kheri,mkuu.
 
Habari mkuu, ni kwamba mimi mwenyewe nina mwanangu wa kiume nae alikuwa hivyo hivyo hata akiumia kiasi gani alikuwa halii kabisa ananiambia nimeumia hapa namsafisha anaendelea na mchezo. Watoto wengi huwa wanaogopa kipimo cha malaria lakini huyu mtoto Nilikuwa hata nikimpeleka hospitali haogopi chochote ikifika Muda wa kupimwa ananyoosha mkono then anachomwa sindano anajipukuta na kuendelea na michezo yake tulikuwa tukimshangaa sana, sasa ana miaka mitano na hali hiyo imeisha yenyewe baada ya kumpeleka sunna(kutahiriwa). Kitu nilichonote ni kuwa alizaliwa na aina fulani ya ujasiri ambao uliisha pale daktari alipoenda kumtoa bandage aliyofungwa maana Alitumia nguvu nyingi sana kumtoa hivyo alipata maumivu makali sana. Kuanzia siku hiyo akiumia kidogo tu damu ikitoka analia sana.
 
si kweli kua kutahiriwa ndio sababu.
 
Hii... hata angekua jasiri vipi lkn angeonyesha dalili kuwa anafeel pain kwa namna m1 au nyngne. Japo si lazima kulia kila mtu ana namna yake ya kuonyesha kuwa ana maumivu...(though wengi hulia)

Suala La tohara ,hapana sioni uhusiano Wa kimedical hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom