Mtoto wa miaka 17 ajiua kwa risasi

Mtoto wa miaka 17 ajiua kwa risasi

Silaha ina sheria zake, ntamlaumu mmliki wa sillaha hiyo kwani hakutimiza wajibu wake.
 
Kwa muonekano wa haraka nadhani baba ndiye aliyemuua mwanae ama kwa kutokukusudia au kwa kukusudia!!!! Huo ujumbe ni magumashi tuuu eti "Ninasikitika kulaumiwa na wazazi wangu, na pia ninawapenda sana."...... I can't take it for a 17yrs boy msge!!.... no way out.... I can see it clear " his Dad is responsible for his death......!!!!!
 
What if it is a cover up, what if baba yake ndio kammaliza na akaandika hiyo barua. Story ina gaps nyingi, where was the dad wakati wa tukio? Kama amejishoot kifuani, sioni jinsi angeweza kutembea tena. Tafakari

Hii kesi polisi wafanye uchunguzi wa kina, hata nami niliposoma hii habari kwenye gazeti nilikuwa na maswali mengi. Kuna jambo nyuma ya pazia.
 
Kijana alimwibia baba yake!! Baba alikuwa akimdai kama aliyemkopesha??!!! Inawezekana alikuwa teja tu huyu. Haya ndio madhara ya madawa ya kulevya!
 
Hatimaye yule kijana aliyejipiga risasi amezikwa leo Mererani Wilayani Simanjiro.

Habari nilizozinyaka toka kwa mmoja wa wanandugu wa marehemu zinasema ya kwmb msiba umetawala na simanzi nyingi sana kwn kijana mdogo kama huyo kujichukulia silaha na kujiua imeacha minong'ono mingi sana!
Wengine wanasema hivi wengine vile ila hakika watu wamelonga sana na haswa wengi wakisema kuna mkono wa mtu.
Lakini Mi nilipopata hbr hii iliniacha ktk wakati mgumu na maswali kede kede yasiyo na majibu!
Nina mengi ya kuuliza lakini hili swali ningependa niseme na yule mshikaji anayeenda kwa jina la Majimoto.
 
Back
Top Bottom