Mtoto wa Mfalme wa Saudi Arabia asafirisha Mwewe 80 katika Ndege

Itakua umekulupuka na hujaelewa tafakari kwanza kabla ya kuchangia

Nadhani yuko sahihi. Maana yake ni kwamba, kama waarabu wangekuwa wanapendana, ukweli watu wao wasingehangaika kukimbilia Ulaya na Marekani kuomba hifadhi maana nchi za majirani zao ni matajiri sana na wanaishi maisha ya kufuru. Familia za falme zao mfano Saudi Arabia, Kuwait, UAE kwa ujumla wake (yenye makao makuu Abu Dhabi), Bahrain, Qatar, na nyinginezo ndo matajiri wakubwa duniani. Maisha wanayoishi ni ya kufuru unakuta mtoto mmoja ndani ya familia ya kifalme ana magari ya kifahari ya mabilioni ya dola. Lakini husikii hata siku moja wanapopata shida wanakimbilia katika nchi hizo zaidi ya Ulaya na Marekani, au hata falme hizo tajiri kuwasaidia hao wanaokimbia, labda kuwajengea misikiti nadhani. Na mfano huo wa kusafirisha ndege kifahari unafafanua zaidi kinachomaanishwa. Ndicho alichomaanisha ingawa hakukifafanua zaidi.
 
Kwani kupanda ndege umeambiwa mpaka uwe na passport?
Usiulize swali kama tuko kijiweni,
We upande bila passport umekuwa Queen Elizabeth.
Kwa taarifa yako hao ndege wana passport, ungesoma kwenye hiyo taarifa yote ungeelewa vizuri wakati mwingine uwe unajiongeza OK Buddy
 
Back
Top Bottom