Mtoto wa Mfalme wa Saudi Arabia asafirisha Mwewe 80 katika Ndege

point of correction saudia hayupo syria na hajaingilia masuala ya syria ,saudia yupo yemen huko anapambana

kwanza uturuki ndio waliokuwa wanashutumiwa ndio wanafadhili na vita nchini syria ni kati ya assad regime vs waasi+isis

usa mpaka saizi yupo upande wa waasi na viashiria kibao vilionekana mwaka jana mwishoni ..

na kama angekuwa anasaidia basi angeshajulikana muda maana ripoti zingetolewa na Russia today na press tv ya iran wangechapisha ,hawa press tv lazima wangewaumbua saudia..
Mjahideen wanaopambana na serikali ya Syria wako well funded and equipped na serikali ya Saudi Arabia na Marekani. Sio lazima kwa Saudi Arabia kutuma askari wake. Najua huko Yemen jeshi la saudh Arabia linapigana na wapiganaji wa Hourth
 
Kubali ulikuwa hujui hao ndege wanaitwaje.kuleta ubishi wakati u mjinga haitakusaidia sana. Hao ni hawks na si eagles
wewe jamaa umenichekesha sana Leo jinsi unavyowapa makavu hawa vijana ,wanampangia MTU matumizi ya hela wakati hawajamsaisia kutafuta
 
Ina maana wewe ni Mmarekani kwamba unaonea hasara mali zenu hadi ufikie kuita watu panya kwavile tu wanampinga Trump; au?! Yaani Wamarekani wenyewe wanaolipa kodi wanapinga lakini anakuja mtu mwingine asiyehusika na chochote inamuuma!! Maajabu haya...
endelea na mihemko yako na ukurupukwaji wa mwendokasi but breathe out breathe in american oxygen
 
Total Cr'ap... swali hili hapa:
Ina maana wewe ni Mmarekani kwamba unaonea hasara mali zenu hadi ufikie kuita watu panya kwavile tu wanampinga Trump; au?! Yaani Wamarekani wenyewe wanaolipa kodi wanapinga lakini anakuja mtu mwingine asiyehusika na chochote inamuuma!! Maajabu haya...
Kama huna jibu piga kimya...
 
wewe jamaa umenichekesha sana Leo jinsi unavyowapa makavu hawa vijana ,wanampangia MTU matumizi ya hela wakati hawajamsaisia kutafuta
Si ndiyo hapo mtu kakazana eti akasaidie waarabu wenzake sijui syria, huyo anayesema si ajabu ana ndugu zake kibao wana shida hajaenda kuwasaidia lakini daily hakosi kiti kirefu bar pale akishindilia mi beer na nyama choma
 
Kila mtu uwa anafanya Israfu kutegemea na uwezo wa pesa alionao.
Kwa mfano:
Unaweza enda ukanunua flat screen unches 40 milion moja na nusu wakati kuna tv za chogo unapata kwa laki na themanini. Wakatu unafanya hivyo kuna familia jirani ina maisha magumu sana.
Mtu unanunua gari lina thamani ya mils 50 kwa ajili ya mizunguko yako wakati kuna magari ya mils 12

Sioni mantiki ya kusema ni Israfu ni kwamba kila mtu ana matumizi ambayo kwake anaona muhimu ila kwa mwenye kipato cha chini sana zaidi yake anaona ni matumizi mabovu

Na huyu huyu wanaemsema anafanya israaf huwenda kajenga misikiti na kawasaidia waliopatwa na mitihani mbalimbali kama vile syria,iraq,yemen na nchi za africa pia...
 
Yaani waarabu huwa wapuuzi sana kupita waafrika.

Mkuu upuuzi wao uko wapi? Kusafirisha hao "hawks" kwa njia ya ndege? Ulitaka wasafirishwe kwa njia ipi kamanda wangu? Kama ni wazungu wamefanya ivo je tungesema wapuuzi?

Kila mmoja anafanya alichojaaliwa na Mungu.pesa anazo za kumwaga azipeleke wapi! Angekua anasafirisha malaya au kilevi cha aina yeyote ningemuona mjinga flani hivi asiejitambua..ni hayo tu kamanda wangu
 
Huwa mnaandika kama watu waliokatwa vichwa so point yako hapa ni nini? Kusafirisha hawks kwenye ndege kwa gjarama zake kuna uhusiano gani na vita ya Syria? Kuna uhusiano gani na travel ban ya USA? Nani anapigana vita Syria? Kwanini? Hivo vichwa vyenu mnafugia nywele tu.
Pole sana ila ukweli umepenya
 
Kama mgogoro wa Syria hauwahusu wanapigana vita ya nini huko Syria?
Mimi sijakuelewa wewe kenge uliyeletewa dini kwenye mtumbwi una manisha wanaopigana vita syria ni marekan na urusi sasa mbona wakimbiz ni warabu na ni kwanini uruhusu watu wapiganie kwako wakati nao wyana mataifa yao kama sio kukosa kujitambua ni nini
 
Kunywa maji kwanza.usiumizwe na Mimi dini yangu kuletwa na mtumbwi hata kama ingekuja na Boeing haikuhusu.
Tuje kwenye mada ndio wanapigana urusi , marekani na waturuki pia wapo kule Syria unataka wakimbizi wawe ni wamarekani au warusi? Utakuwa unaumwa ubongo wewe.
 
Mimi sijakuelewa wewe kenge uliyeletewa dini kwenye mtumbwi una manisha wanaopigana vita syria ni marekan na urusi sasa mbona wakimbiz ni warabu na ni kwanini uruhusu watu wapiganie kwako wakati nao wyana mataifa yao kama sio kukosa kujitambua ni nini
Kwa akili yako fupi kama mtungi wa gesi huwezi kuelewa kwa nini marekani na urusi wanapigania kui control Syria. We kula maembe ujambe ulale
 
Mbona una coment za kike kike nimekuuliza kwanini syria karuhusu marekan na urus wapiganie kwake wakati nao wana ardhi zao
 
Sasa unataka nikujibu nini na wewe hapo ndo mwisho wa akili yako? Kwa Kukusaidia ni kwamba Bashar Assad hataki kuondoka at the same time USA wanataka aondoke na Urusi hawataki. Issue kubwa ni rasilimali inagombaniwa.ni vita ya kiuchumi.
Usije ukaniuliza Kwanini ni vita ya kiuchumi. Kama mpaka hapo hujaelewa basi
 
Ukipunguza kujibu kwa mikogo ya kidemu demu utaeleweka
 
Bwana mdogo JF ni kama shule kukubali kwamba uwezo wako kichwani ni mdogo si dhambi. Tulia ufundishwe na uelewe masuala yanavyokwenda hapa duniani. Otherwise kashfa unazonitupia nakudharau kwa sababu nimeshakupima kichwa ni huna unalolijua. Endeleza kashfa na matusi
 
Ukivimba jilipue uwahi bikira zako 72 ulizo andaliwa na allah na kuna mito ya pombe allah kakuandalia
 
Kila mtu uwa anafanya Israfu kutegemea na uwezo wa pesa alionao.
Kwa mfano:
Unaweza enda ukanunua flat screen unches 40 milion moja na nusu wakati kuna tv za chogo unapata kwa laki na themanini. Wakatu unafanya hivyo kuna familia jirani ina maisha magumu sana.
Mtu unanunua gari lina thamani ya mils 50 kwa ajili ya mizunguko yako wakati kuna magari ya mils 12

Sioni mantiki ya kusema ni Israfu ni kwamba kila mtu ana matumizi ambayo kwake anaona muhimu ila kwa mwenye kipato cha chini sana zaidi yake anaona ni matumizi mabovu

Umejenga hoja ila umesahau huyo ni Mtoto wa Mfalme anaishi kwa kodi za Wananchi ,alipaswa kutumia njia mmbadala na sio kufuja Mali za Uma namna hiyo..
 
Back
Top Bottom