Mtoto wa Mchungaji akitoa ushuhuda

Malunkwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
338
Reaction score
80
Mtoto wa mchungaji katoa ushuhuda kanisani
Haleluyaaa!!!
Nashukuru mungu kwa kuniponya,nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi
lakini tangu nimeanza kwenda kwa mwalimu wa sunday schooll usiku ni mwezi wa 3 ugonjwa umepona

Watu:
aaaaa!!(Mimba hiyoooo)
 

hahaaaaa imekula kwake... Ye alijua maombi.. Kumbe mwalimu wa s.school anatafuna
 
Keleuuuwiii naweka uchungaji pembeni nauwa mtu
 

Nhu! ebutueleze ni mtoto wa mchungaji gani huyo ambaye mwanae alitoa huo ushuhuda... naomba utueleze ili tumjue kabla hujapotosha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…