Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,354
- 33,193
Mtoto wa maskini na mtoto wa tajiri.
Dah aysee sie weusi asa tunajizarau, hivi kwanini mtoto mwenye rang nyeupe hafanani kua maskini ?? kwakweli hii ngozi inazarauliwa sana ndo maana kua inachukiwa na kila mtu mpak wengne wanaenda mbali kujichubua alafu tunajipa moyo kua waafrica ndo watu halisi kwenye dunia hii