My dear vijana wa siku hizi kazi sana...hasa pale pepo la ngono linapokuwa limeshawaingia....
Kaka mtu anashindwa kumwita na kumkanya mdogo wake???? Kisa ana siri zake??? Puliz..siri kitu gani....
Akiwa serious dogo ataacha maana huyo binti ni balehe tu inamsumbua
kumkanya na kua serius naweza,ila reaction yake baada ya hapo ndo naihofia