Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
bongo tuna vituko kweli siku hizi. Ukila cha mtu na wewe lazima uliwe, haya sasa sijui wangapi watapona.
ingefurahisha sana hawa vibosile wanaotafuna wake za watu yangewakuta haya siku moja.
wakifika selo ndio watakapojua uchungu wa kumla mwenzao tigo.
- hivi kuliwa tigo bila rukhsa ya mwenye mgongo ina hukumu gani tz?
- nakumbuka yule padre aliyekamatwa pale mlimani akimla dogo tigo alishaachiliwa, lakini hawa kosa lao si ni kubwa zaidi si itabidi waozee selo?
tatizo wengi wanaliwa awasemi ama kutangazwa lakini dar imekuwa mchezo huku mbezi tankibovu kuna mtu kala mke wa mwanajeshi aliatafutwa ndugu jamaa akahama kabsa na kuacha familia,...siku anarudi kuchukua nguo na vitu vyake loh
anajua mungu na sie majirani
mkuu ile kesi nimeifwatilia sana
akuliwa tigo ila yule mtoto aliomba kuliwa tigo jamaa akawa anawasiliana na mashetani wake nianze nisianze
malaika wa bwana akatokea ndipo alipoponea
kwi kwi kwi kwiiiiiiii!!@#@!#@#!%%$@#!@?#!
kwa ushahidi kama huo padre lazima aachiliwe huru.
na inasemekana yule padre ule ulikuwa ni mtego kwake, inasemekana kwamba padre alikuwa na mama wa mtoto sasa sijui walikorofishana nini hivyo mama akaamua kumkomoa padre ndio ukawekwa ule mtego. na kwa vile lengo lilikuwa ni kumkomoa basi hata kile kitendo cha kuhukumiwa tu kilitosha!! bongo kazi kweli kweli!!
na inasemekana yule padre ule ulikuwa ni mtego kwake, inasemekana kwamba padre alikuwa na mama wa mtoto sasa sijui walikorofishana nini hivyo mama akaamua kumkomoa padre ndio ukawekwa ule mtego. na kwa vile lengo lilikuwa ni kumkomoa basi hata kile kitendo cha kuhukumiwa tu kilitosha!! bongo kazi kweli kweli!!
Kama virusi hata jamaa angewaletea kupitia kwa mke wao,hapa ukifumwa na mke wa mtu ni tigo tu kwa kwenda mbele.
Mnaotetea ni wala wake za watu, siku yenu inakuja mtaliwa tu. Me mtu akigusa mke wangu,nikijua lazima afanyiwe mpango aliwe tigo
kwa nini asingemtegea Padre kwa chombo chake mwenyeweKama ni kweli ya huyo mama wa kijana, ingefaa achukuliwe hatua za kisheria.
Kukunwa akunwe yeye halafu mgongo ndio anataka dogo ndie asuguliwe, kwa nini asingemtegea Padre kwa chombo chake mwenyewe?
Kama mkeo kakuchoka na kaamua kutembea nje dawa ni kumwacha ,kitendo cha kuwaita watu na kumlawiti jamaa ni ujinga wa hali ya juu kwani haisadii kitu kwa kuwa hao wawili walikubaliana na hao walawiti njaa zao zitawapeleka kuzima kwanza wamejidharirisha wenyewe kwa kitendo cha kufanya ulawiti na ni aibu kwao wenyewe na familia zao,pia na si ajabu wameambukizana virusi vya ukimwa kwani watakuwa wamechubuka na mwisho lupango inawasubiri.
Pia kwa jamaa aliyelawitiwa pole lakini si ungwana kufanya mapenzi na mke wa mtu,watu wa miji ya Arusha na Moshi wake zao hawachezewi kumbukeni mwaka jana jamaa huko arusha alijikuta yuko hospitali ya Meru akiwa amebaki na kipisi
Mi sina majibu ya maswali yako ila kila mtu ajihoji mwenyewe,ila enge kuwa mke wangu ni talaka tu yanini kujiletea mikesi wakati wasichana wako wazuri wakutosha? "kufikiri na kuamua kwa njia sahihi ndio msingi wa maendeleo"Hata mie nionavyo ndivyo! mkeo akishafikia hivyo, muache au kama ni adhabu basi umpe mkeo maana ndiye mkosaji mkuu katika hilo! Maana huwezi kujua - labda alimdanganya jamaa kuwa hajaolewa, au kaachika, au kajipeleka peleka tuu ili mradi waliridhiana wote wawili! (wengine ni hulka yao). Hata hivyo hebu tujiulize ndani ya mioyo yetu - wewe hujawahi kutenda kosa (tena kwa kusudi na kwa siri)ambalo kwa hakika ulistahili adhabu katika jamii Lakini hukuadhibiwa? (tena kosa lenyewe ni jamii hiyo hiyo!!) Hatusemi kuwa yule bwana hakutenda kosa ila, alistahili adhabu ile kweli? (walikuwa wamkate uume wake hivyo!) wale wanaoshabikia alichofanyiwa yule jamaa - ndo kusema wao ni wasafi sana au wanajua kupenda sana AU? tujifunzeni kusamehe pia!