hivi hayo majina ya chi. na suzuki yamekaaje ama ndio tafsiri yake?Mtoto mmoja wa kichina, Yu U. Chi, alihamia Marekani na wazazi wake . Siku ya kwanza ya darasa, baada ya mwalimu kumtamblisha akasema.
Leo tujikumbushe kidogo historia ya Marekani. Nani alitamka 'serikali ya watu kwa ajili ya watu'?"
Watoto wote kimyaaa! Baada ya muda Suzuki akajibu:
"Abraham Lincoln, mwaka 1863"
Nzuri saana Chi! Nyinyi hamuoni aibu kuwa mgeni kaja siku moja tu anajua kuliko nyinyi wazaliwa? alisema mwalimu huku wanafunzi wakizungumza chini kwa chini. Mmoja akanong'ona, "Hii michina bwana!"
Mwalimu kusika akauliza:
Nani kasema hivyo?
Chi akajibu:
"General MacAthur, 1942".
Wanafunzi wakiwa wamekerwa na ujuwaji wa Chi, mmoja akamlembea kitu kizito, akaanguka na kuzimia.
Mwalimu kuona vile ma mwanafunzi mtundu kuliko wote kwa jicho la shutuma. Yule mwanafunzi kwa kujitetea akasema:
"Mmi sihusiki"
Chi akiwa ndio kwanza anapata fahamu, akanyanyuka na kujibu:
"Kikwete, tarehe 5 February 2011 alipokuwa anajitetea kuhusu Dowans"
Naomba nikushukuru kwasababu umefanikiwa kufikisha ujumbe kwa adhira na binafsi nimecheka kwa kiwango cha kuhitaji 1lt ya juice ya ukwaju ngoja nikaisake kwanza teheteheteheteheee!!Mtoto mmoja wa kichina, Yu U. Chi, alihamia Marekani na wazazi wake . Siku ya kwanza ya darasa, baada ya mwalimu kumtamblisha akasema.
Leo tujikumbushe kidogo historia ya Marekani. Nani alitamka 'serikali ya watu kwa ajili ya watu'?"
Watoto wote kimyaaa! Baada ya muda Chi akajibu: