Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 181
Una dalili za ugonjwa wa kujiunga na ISIS.Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu.
Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu.
Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe mwanamke mweupe.
Najua wengine mtanisema vibaya ila hizo ni ndoto zangu.
Tafadhali kama kuna mtu mwenye hivo vigezo aupoze moyo wangu.
Wasalam.
mimi nilijua unandoto ya kumpita mengi na kuwa na kampuni kubwa, shitiiiii
you have smart dream sir,big up!!
(hii ndiyo tofauti ya wazungu na miafrika)
mie naona yupo sawa tu na wazungu, maana hata madada wa kizungu wanakuja kuopoa kaka zetu wa kimasai na wenye rasta....au uchangua doa maeneo kama dubai wazungu na wenye feza zao hulipa dola kuanzia 300 kulala na changu wa kiarabu, wanaofuatia wabongo, wamwisho ni wachina dola chini ya 50, ....kuna mpaka ramani ya nchi zipi zenye wanaume wenye nanii ndefu duniani kwa ajili ya sex tourism, kwa afrika sudan inaongoza, usimcheke dogo. Ila dogo warabu wapo ila uwe na fweza ya kutosha na kusahau ukoo na familia uliyotoka, pia jiandae kubaguliwa hata kama unamshiko kiasi gani.