Mtoto wa Kawawa alia CCM inakaribia kufa

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI
 
Mnafiki huyo, mbona hakutia sahii ya kutokuwa na imani na utendaji wa Pinda? Isitoshe ubunge wake hauna hata tija, Anaowawakilisha hawamtaki.
Ushauri ni bora uame chama chako cha magamba haraka sana
 
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI

Hayo maandishi mekundu ni kweli siku hizi ukimwona kijana anashabikia CCM lazima atakuwa na roho ngumu si kwamba CDM ni wazuri sana lahasha uozo wa CCM umeifanya CDM ionekane Lulu.
 
kwani amefungishiwa ndoa na ccm kama siasa ni hiari ya mtu basi hana haja ya kufanya yote hayo ni yeye kuamka na maamuzi magumu tu.
Usitafute huruma kwa magamba hawatafanya hivyo timua mbiyo kama umeshtuka usingizini.
 
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI
Kulia pekee hakutoshi, achukue hatua
 
Mnafiki! Kwani chama ni cha baba'ake? Au kwavile amepewa ubunge kwa kumlipa fadhila baba'ake? Kama inamuuma sana kwanini asiamie DP ya Mtikila!
 
Hayo maandishi mekundu ni kweli siku hizi ukimwona kijana anashabikia CCM lazima atakuwa na roho ngumu si kwamba CDM ni wazuri sana lahasha uozo wa CCM umeifanya CDM ionekane Lulu.

Tena ni 'Roho ngumu' kama ya Nape.
 
Pole zake and has to recall these words.."CCM siyo baba wala mama yangu.."JK Nyerere.
 
Mtoto wa Rashid Kawawa na mbunge wa CCM Zainab Kawawa amelia machozi katika kikao cha wabunge wa CCM na kusema hii siyo CCM ya baba yake aliyoijua na kwamba hii ni CCM inayoelekea kuzimu kwa vitendo vya ubadhirifu wa mawaziri wake.
Katika hali ya kushangaza wakati akiangua kilio hicho alisema vijana wote aliosoma nao na marafiki zake wanamzomea na kumshangaa kuwa CCM.
Hali hiyo ilisababisha wabunge wenzie ndani ya kikao hicho kupatwa simanzi kubwa na wengine nao walionekana wakifuta machozi.

Source:RAI

Ana haki ya kulia. Ndo waliofaidi chama kilipokuwa kimeshika utamu wa uongozi. Hata hivyo kijana kuendelea kuwa CCM lazima awe na asili ya unafiki
 
Hahahahahaha...
Na ule 'urefu' wake sipati picha...

Si ang'atuke CCM si baba wala mama yake!!
 
Mbunge analia
Waziri mkuu analia
Mwananchi wa kawaida afanyaje?

kazi ipo hapo
 
Back
Top Bottom