Ilomba
Member
- Apr 7, 2019
- 7
- 5
Wakuu napita tuuu ila nazan jogooo kala kuku na mayaii yakeeeeeee











Sent using Jamii Forums mobile app












Sent using Jamii Forums mobile app












Ukoo wa panyaMaza Nae Muhuni, Jani Halianguki Mbali Na Mti Wake
Aiseee
Mtoto mzuri huyo we subiri kakue tuwa kawaida sana huyo mtoto
'Gear yourself to solutions in every problem'



Walimwengu mna misemo
SGR haijaanza kutumika lakini viberenge vinapita kila siku
Akue mara ngapi?Mtoto mzuri huyo we subiri kakue tu
Wazazi wakiachana watoto wanakosa furaha. Hata hiyo picha wamepretend tu ili ionekane kwa jamii hamna tatizo kati ya baba na mtoto lakini kuna tatizo watoto katika kuachana wengi wanaside na mama zao kutokana na natureAlafu kwann nikiangalia picha anaonekana kama hana furaha huyu mtoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
wazee wa negativity tuko machoKama alimtafuna Shemeji yake naanza kupata wasiwasi
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk


mke ya mutu ingine hiyoWangemweka na mama mtoto kwenye picha ingependeza
Old School ? Kurudiana Inategemeana Na Hali Ya Wapenzi wao wapya kama nao watawaacha tena na kurudiana na makoloni yao ya zamani. Ila ni shughuli pevu inayowezekana kurudiana
Wakuu napita tuuu ila nazan jogooo kala kuku na mayaii yakeeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yao ni mganga wa kienyeji pale Shinyanga sasa hivi.. Ameungana na jamaa mmoja ambae hata utajiri wake haueleweki anaitwa JONTAWangemweka na mama mtoto kwenye picha ingependeza