Mtoto wa Chacha Wangwe ndiye Kapeleka fomu kwa Lissu? Hapo ndio mwisho wa majungu

Mwanasheria kijana ambaye pia ni mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu Bob Chacha Wangwe majuzi alikuwa Brussels Ubeligiji kwa kushughuli zake ambazo hazijaainishwa pengine zikiwa za binafsi zaidi.

Kijana huyu machachari (ndiye aliyefungua kesi kupinga DED's kuwa mawakala wa NEC) pia ni mtoto wa mwanasiasa mashuhuri marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA taifa na kufariki kwa ajali ya barabarani huko Dodoma miaka kadhaa iliyopita.

Lissu kajaza fomu kugombea makamu mwenyekiti taifa. Fomu zimefikaje kwake? Jee ni online au kapelekewa na mwanasheria huyu kijana mtoto wa makamu wa mwenyekiti wa zamani?
Bila kutumia akili hili laweza kuwa jambo dogo lakini kwa jicho la tatu la kisiasa waweza kuona calculated benefits ambazo Chadema wanaweza kujipatia kama kweli fomu hizo zimepelekwa na kijana huyo.

Zile blabla zilizokuwa zinaenezwa na CCM kuhusu baba wa kijana huyo dhidi ya CHADEMA ndio zimekufa rasmi watafute kingine maana wao ni kama wachawi hata ukivaa kitenge kipya ni sababu tosha ya kukuloga.View attachment 1277915
Sio lazima apeleke hata kwenye website ya chama ipo
 
Sio lazima apeleke hata kwenye website ya chama ipo
Ndio maana nimeweka hapa, jee kama ndio kampelekea hiyo ni nini? Hiyo ni heshima kubwa sana kuliko Ku download from website. Na why Bob Chacha Wangwe this time?
 
Kasahau Baba yake alikufa kisa kutaka kugombea Uenyekiti. Lissu nimemdharau sana. Kwa nini hajagombea Uenyekiti ?
Hilo swali najiuliza kila mara, Mwenyekiti Mbowe yeye huwa hapendi kugombea urais lakini pia wanaopenda urais kupitia Chadema pia hawapendi kuongoza chama Chao... Inafikirisha Sana... imagine scenario ambayo chairman Mbowe ana mwanachama wake anaongoza nchi.. very interesting.
 
Back
Top Bottom