Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

Maria Nyamhanga

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
130
Reaction score
25
Baada ya kumkataa mtoto wake aliemzaa na Raffaella.. siku ya birthday ya mtoto huyo wa kike anaeitwa PIA amekabidhiwa zawadi kwa baba mwingine atakaendeleza malezi pamoja na mama wamtoto.
 
Ungeweka na picha ili tuone kama anafanana nae. Samahani lakini mimi si mwamachama wa wale weka picha.
 
Tupe source ya hbr hii.

Na la zaidi ningependa kukuta majanga hawa Jukwaa lengwa na siyo hapa jamani.

Kwani baadhi ya member wanakuwa mizigo jamani?
 
Hata muke muyangu mimi banaoa kutoka munyanza yuko muhivyo. Nyie bantu wengi banatoka mkule sengerema, geita na magu muko muhivyo. "rrr" banakuwa muwengi sana.
 
Hata muke muyangu mimi banaoa kutoka munyanza yuko muhivyo. Nyie bantu wengi banatoka mkule sengerema, geita na magu muko muhivyo. "rrr" banakuwa muwengi sana.
acha usse* sasa ndio umeandika nini hapo?
 
Tupe source ya hbr hii.

Na la zaidi ningependa kukuta majanga hawa Jukwaa lengwa na siyo hapa jamani.

Kwani baadhi ya member wanakuwa mizigo jamani?[/QUOTE
Source mimi mwenyewe.. unauhakika gani kuwa wewe si mzigo humu jamvini
 
Back
Top Bottom