Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Kwa wale wanaojua habar hii nmeipata so kama kuna mtu anaweza kujustfy itakuwa vyema maana nami nmepenyezewa,
Huyo mtoto ni congenital abnormality anajulikana kama anancephaly ambapo anakuwa hana ubongo wa mbele, fuvu linalofunika ubongo(skull) pamoja scalp ...tatizo hutokea pale neuro tube zinaposhindwa kuungana wakati wa ukuaji wa mtoto nikama siku ya23 na 25 baada ya mimba kutungwa. kuna baadhi ya dawa zinazochangia kutokea kwa tatizo hilo ni kama dawa za kifafa, pia kuna magonjwa kama kisukali na sababu zingine ni za urithi wa gene.
Kwa wale wanaojua habar hii nmeipata so kama kuna mtu anaweza kujustfy itakuwa vyema maana nami nmepenyezewa,
Wewe kilaza mwengine huyo hayupo bongo
Mkuu sasa ukilaza wangu ni upi? Anyway asante kwa kuchangia