Mtoto Sewa Bar Buguruni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Sewa Bar Buguruni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Congo, Jun 22, 2011.

 1. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,209
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu niko sewa bar hapa buguruni. Kuna mtoto wa miaka 4 hivi yuko na mama yake. Mama huyo wanavutana na mwanaume akimtaka waende mahala. Nataarifu kumsikitikia mtoto, mnaohusika na ustawi wa jamii na watoto, nawapa taarifa.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,359
  Likes Received: 14,634
  Trophy Points: 280
  bado wapo? ngoja nimshtue mtu wangu wa haki za binadamu sa ivi. au ni mme wake?
   
 3. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Ni jambo la kusikitisha lakini huko A Town au city watoto kuonekana bar na wazazi wao nadhani ni kama kawa!! au yamekwisha siku hizi??
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Ita polisi awazuie wasiende mahala ili kumuokoa mtoto.
   
Loading...