Mtoto Neema alipotaka kuzamia meli

TONGONI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
1,032
Points
1,195

TONGONI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
1,032 1,195
<br />
<br />
Mkuu usimwone amechanganyikiwa yeye kaona hii nchi siku yoyote itawaka moto ameamua aandae silaha zake kabisa.
Kweli mkuu hapa walipo tufikisha kweli tumechoka lakini si tumeshuhudia mara kadhaa waandamanaji wasio na silaha wala hatia wakipigwa risasi za moto! sasa hebu vikiria ikiwa kila mtu atatafuta silaha zake siwatakuja na vifaru,lakini hakuna kitu kibaya kama mwanadamu akichoka hata ukija na F 16 hawarudi nyuma,mifano hai ipo.Syria na Misri.
 

Forum statistics

Threads 1,379,327
Members 525,385
Posts 33,743,225
Top