Kuna mtoto aliokota Pete y DHAHABU....mara tu akatokea jamaa na kumwambia " Hiyo pete nipe mimi" MTOTO, "naenda kumpa demu wangu.... JAMAA "mpaka wewe una demu hata kukojoa bado hujaanza"? MTOTO "kukojoa!! wee vipi! mie mpaka haja kubwa sasa hivi natoa mbona: