Mtoto mzuri Ughaibuni

Kwa hiyo hadi aniamini mkuu? Nifanye mbinu gani hadi aniamini? Naenda kwa week mbili je ataniamini?
Nashukuru kwa tahadahri na ni kweli nimewaza mengi sana.
Kwa ninavyowajua wiki mbili hazitoshi, hizoni sawa na siku mbili tu. Kuhusu mbinu za kufanya, usihofu. Wala usiongezee mbinu zozote, be yourself, the natural you.
 
Tuelimishane kiongozi nisije nikakosea pakubwa. Embu fikilia nikiambiwa nimebaka kule ulaya si itakuwa aibu kwa taifa zima. Nipe tu ujanja nitaleta mlejesho humu.
Mbona unahusisha taifa na mambo yako binafsi? Kwani wewe waziri au katibu mkuu wa wizara? Mambo binafsi yana uhusiano gani na taifa?

Ukiambiwa umebaka anayewekwa lupango ni wewe siyo taifa. Stop using the Nation to cover your weakness.
 
Mbona unahusisha taifa na mambo yako binafsi? Kwani wewe waziri au katibu mkuu wa wizara? Mambo binafsi yana uhusiano gani na taifa?

Ukiambiwa umebaka anayewekwa lupango ni wewe siyo taifa. Stop using the Nation to cover your weakness.
Nazani wewe hujasafiri Ndugu. Ukibaka hawaandiki jina tu.. Wanaandika hadi taifa ulilotoka. Na hapo unakuwa umeharibu sura ya taifa kimataifa. Hata wewe ukienda ukisema tu unatokea Tanzania wanakutilia Mashaka. Hayo mambo usilete mchezo kabisa. Uzalilishaji haukubariki kwenye nchi za watu. Kunabaadhi ya mataifa yananyimwa visa kwa vitendo kama hivi.
 
Heri ungejua nilipo ndugu yangu. Hata wakitaja nchi wanataja Mtanzania siyo tanzania hivyo usitudanganye. Nilipo kuna sheria kali ila haimanishi usingizie nchi. Wewe umekwenda siku mbili ukarudi sisi tunaoishi tutasemaje?
 
Heri ungejua nilipo ndugu yangu. Hata wakitaja nchi wanataja Mtanzania siyo tanzania hivyo usitudanganye. Nilipo kuna sheria kali ila haimanishi usingizie nchi. Wewe umekwenda siku mbili ukarudi sisi tunaoishi tutasemaje?
Fanya kosa hilo ndio utajua. Utarudishwa bongo baada ya kumaliza kifungo.
 
baada ya holiday kupita, ukirudi ofisni please njoo direct ofisini kwangu. Yaani inch na ofisi inakuamini kumbe ww unamwendekeza abdallah kichwa wazi. huna safari tena
 
baada ya holiday kupita, ukirudi ofisni please njoo direct ofisini kwangu. Yaani inch na ofisi inakuamini kumbe ww unamwendekeza abdallah kichwa wazi. huna safari tena
Dah kazi na dawa bosi. Mbona wewe unajipiga secretary tumekaa kimya tu.
 
Anza kwa kusema "ashakum si matusi" then mwambie yaliyomo moyoni mwako.
 
Mimi nishajua mpaka ofisi unayofanya tayari kwa story fupi tu hii... Sema ngoja nikukaushiee nisimwage mchele kwenye kuku wengi
 
Unariaibisha taifa mkuu.Na yeye ni binadamu jilipue tu liwalo na liwe yanini ukae na kimuyemuye?
 
Hivi Waseminary
Mna nn lakin?
yaani kumwambia
tu unataka mbunju
unaona ajaabu!!?
Aibu nimeiona mimi
 
Kuna mshikaji wangu miaka ya nyuma baada ya kumaliza chuo wakati sisi tuko kitaa na bahasha Kusaka kazi yeye brother wake akamuunganisha mchongo kwenye NGO flani. Kazi ya kwanza wakaenda field kufanya tafiti for three months, na wakaja wazungu watatu (mmoja dada mkalii) wakaungana na staff wengine ikawa timu ya watu nane. Wakaenda field huko Kilwa na Liwale mkoani Lindi. Huko porini walikuwa na mahema but jamaa anasema yule dada wa kizungu akawa ameanza kumzoea jamaa mpaka ikawa muda wote yuko kwenye hema la mshikaji, sometimes na kipensi na tisheti tuu.... Ikaendaa hivyo mpaka jamaa akaanza kuona mzungu kampenda. Weekend moja wakatoka porini kwenda town (wilayani) kupata good time kidogo. Wakiwa town baada ya kupata lager na Konyagi za Kutosha wakaenda guest Kutafuta room, jamaa kuingia kwa room si akaomba mchezo huku anaanza kumvua nguo demu wa kizungu... Aisee mzungu alichange ghafla na kuwa mwekundu kwa hasira, akamsukuma jamaa huko Akafungua mlango na kwenda kutafuta another guest. Jamaa pombe ikakata na usiku mzima hakulala akifikiria kesho aibu yake ataificha wapi.
Nimewaza hivyo ila napata shida sana kuyakubari matokeo hasa yakija mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo lake alitaka kubaka, mzungu anataka makubaliano sio kufukuzana kijogoo kama mmafanyavyo kwa binti za kibongo, ni ujinga kuamini kuwa ukaribu wenu umetosha kuvuana nguo, omba ridhaa, itetee nafsi yako hadi uambiwe ndio ndipo umvue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah aliamini kilichobaki ni vua nguo mambo yaanze but was shocked...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah basi bana sifanyi tena huo ujinga. Wacha nijivinjari na wabongo wangu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…