Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Al khayr safi sana kazuri
Sawa. Na watoto wote kwa ujumla ni wazuri, hakuna mtoto mbaya. Ni malaika.
Mashallah Kishunaaaaaaaaaa,kingekua changu ni ma busiiiiiiii 24/7....
Da nimeingia kwa spidi nikidhani nakutana nabonge la mrembo kumbe dah
MziziMkavu!Kiswahili umekisahau huko diaspora?
'mtoto mzuri' ina maana yake ambayo huijui!Nilifungua thread kwa spidi ya jet fighter!