Sitaki kufurahishwa mrembo, bali nataka UKWELI kama ulivyo.Hayo mambo ya kuthibitisha unyani ni ya kisayansi na wala kwa akili yangu siwezi kuthibitisha hilo mdada. Ila kwa upeo wangu mfupi nimeandika comment nyingine chini labda itakufurahisha hyo.
Kama haujui hapo ulikuwa unapinga nini?
Hujanielewa nadhani mimi sikuandika comment ya kwanza kama a real fact niliandika kujifurahisha ndo maana sikutoa reference yoyote kutoka theory yoyote. Halafu humu muda mwingine sio kila kitu kuchukulia serious hivyo.Sitaki kufurahishwa mrembo, bali nataka UKWELI kama ulivyo.
Pili, mambo ya Kisayansi yapo bila shaka umeyasoma, ila kama uliyasikie bila kujua hakika yake, huku ni kuikosea heshima ELIMU. Hutakiwi kuwa shabiki katika mambk ya kielimu wala hutakiwi kuwa "Bendera fata Upepo".wala "Kichwa Mchunga". Kabla hujaandika jambo hakikisha una ELIMU nalo kama huna awla kukaa kimya au kuuliza.
Poa.Hujanielewa nadhani mimi sikuandika comment ya kwanza kama a real fact niliandika kujifurahisha ndo maana sikutoa reference yoyote kutoka theory yoyote. Halafu humu muda mwingine sio kila kitu kuchukulia serious hivyo.
Nihusishe imani ya nini?mkuu nakupinga kwa logic,history na anatomy.Hebu nipangue mimi kwa hayo maswali machache.
Sema tutashindwana tuu kwa sababu utahusisha imani
Sawa zilete.Nihusishe imani ya nini?mkuu nakupinga kwa logic,history na anatomy.
Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww naye tangu umekariri hicho kineno cha "critical thinking" umekuwa unakitumia ovyo sana! Acha kukariri, sasa hiyo "critical thinking" mbona siioni ktk blabla uizoandika hapa?Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok here i go !Sawa zilete.
Touch a nerve?? πππWw naye tangu umekariri hicho kineno cha "critical thinking" umekuwa unakitumia ovyo sana! Acha kukariri, sasa hiyo "critical thinking" mbona siioni ktk blabla uizoandika hapa?
Lol, maswali ndio haya?.Ok here i go !
1.how did life originate?
2.where did life originate?
3.How rapidly does evolution occur?
4.what is the mechanism of evolution?
5.does the fossil records prove evolution?if yes how?
I was expecting answers .Lol, maswali ndio haya?.