Na ile weight for age inamaanisha Nini?Watoto chini ya miaka mitano mara nyingi hawapimwi body mass index, badala yake nutritional status zao zinakua assessed kwa kutumia vipimo vya height for age (hii hutumika kupima kama mtoto ana stunting-udumavu ambao husababishwa na chronic malnutrition), pia kuna weight for height ambayo hutumika kuassess kama mtoto ana acute malnutrition
Weight for age, kama inavyojieleza inapima uwiano wa uzito wa mtoto kulingana na umri wake. Hivyo basi mtoto akiwa underweight inawezekana ikawa ni either sababu ya "wasting" (ambayo ni acute loss of weight kutokana na sababu ambazo si za muda mrefu-acute), au pia inaweza kutokana na sababu za muda mrefu "chronic weight loss" ambayo ndio stunting; au pia inaweza kuwa sababu ya vyote viwili.Na ile weight for age inamaanisha Nini?
Asante sana Dr, nimekuelewa vizuri sana, Mungu akubarikiWeight for age, kama inavyojieleza inapima uwiano wa uzito wa mtoto kulingana na umri wake. Hivyo basi mtoto akiwa underweight inawezekana ikawa ni either sababu ya "wasting" (ambayo ni acute loss of weight kutokana na sababu ambazo si za muda mrefu-acute), au pia inaweza kutokana na sababu za muda mrefu "chronic weight loss" ambayo ndio stunting; au pia inaweza kuwa sababu ya vyote viwili...
Dr wasalaam! Factors gan zinafanya kaz kwa pamoja kuleta matokeo kweny nutrition status ya mtoto, Assist me please Dr. WansegamilaWatoto chini ya miaka mitano mara nyingi hawapimwi body mass index, badala yake nutritional status zao zinakua assessed kwa kutumia vipimo vya height for age (hii hutumika kupima kama mtoto ana stunting-udumavu ambao husababishwa na chronic malnutrition), pia kuna weight for height ambayo hutumika kuassess kama mtoto ana acute malnutrition