Ndugu zangu Habari za asubuhi, natumai mu wazima wa afya njema, mulio wagonjwa MUNGU akawape wepesi kwa kuwaponya.
Moja kwa Moja niende kwenye maada, nina mtoto wangu wa miezi 8 amekuwa na tatizo la kutapika kila akinyweshwa uji, maziwa au chakula chochote.
Wataramu wa malezi na Matabibu naomba msaada wenu.