Hivi waungwana mtoto ni lazima atambae ndo atembee kuna mbidada hapa ananisumbua kweli si wajua ukiwa umesoma kidogo. Mtoto mwaka mmoja hatambai wala kutembea kuna nini hapa?

Wangu wa kike alitambaa akiwa na miezi 6 na kutembea akiwa na miezi 8... pia naskia mtoto kuchelewa kutembea au kutambaa hutokana na sababu za 'kubemendwa'.. sijui kama kuna ukweli hapa?