mtoto kutafuna meno usiku akiwa amelala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto kutafuna meno usiku akiwa amelala

Discussion in 'JF Doctor' started by Parachichi, Feb 14, 2012.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
   
 2. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2014
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Bado anatafuna meno?
   
Loading...