Mtoto kucheka usingizini ina maana gani?

Mtoto kucheka usingizini ina maana gani?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,714
Habarini!

Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni mara chache ameonyesha hali ya kama kutaka kulia hivi.

Wazazi wazoefu na wajuzi, hii ina maana gani?
 
Anaona malaika anacheza na yeye mtoto Hana dhambi, anaona Kama muvi mbele yake na michezo mingi wakicheza nae
 
Maendeleo hayana chama au Nasema Uongo ndugu zangu
 
Back
Top Bottom