24plus
nishakua kiakili ndio najichanga. Ila sometimes Nina akili za kitoto
mzee baba sifanyi hivyo kabisa kuna ustawi wa jamiiunapata tabuuuuuu, mwambie kuwa unampa mtoto ila matumizi na matunzo asahau
Kuna demu ananipenda ila anao wivu mpaka basi, akiwa na wivu hapokei simu. Najua ananipenda mpaka anachanganyikiwa tatizo mi bado najipanga kimaisha analazimisha mtoto wakati Mimi bado sipo poa. Nampenda sana tatizo la ugomvi ni hill tu. Sijui nimwambie nini naona nitamdanganya anahisi vibaya. Sijawai kuona wivu huo
naona kama nimebarikiwa kutoa mbegu zangu kizembe ni kazi. Watoto wanje ya ndoa naogopaHuyo hakupendi ila anapenda kupata mototo tu kwako, subir azae na ww thn kama kutakua na mapenzi labda ufunge nae ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
naona kama nimebarikiwa kutoa mbegu zangu kizembe ni kazi. Watoto wanje ya ndoa naogopa
Mnatumia condom kila siku?nishakua kiakili ndio najichanga. Ila sometimes Nina akili za kitoto
hakuna kitu sikipendi kama kutumia condom. Bora nifanye Mara moja moja
Sasa anashindwaje kubeba ujauzito kwani lazima akuombe?hakuna kitu sikipendi kama kutumia condom. Bora nifanye Mara moja moja
poa mkuu.Nenda nae taratibu.
tarehe hatari za kwake nazijua
kwanini.hivi demi mwanamke akiwa na marafiki wengi wa kiume na kike nitatizo au hakuna ishu.
Kwani tumeumbwa tujitenge kila jinsia ikae kivyake? Wapi imekatazwa kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti?kwanini.hivi demi mwanamke akiwa na marafiki wengi wa kiume na kike nitatizo au hakuna ishu.
demi tatizo sio kuwa na marafiki wa jinsia zote. Muda mwingi yuko pamoja na rafiki zake inakua shida kufanya kitu flani halafu inaweza kuchangia migogoro. Mbona wanaume tukiwa na rafiki wa jinsia zote hamtakiKwani tumeumbwa tujitenge kila jinsia ikae kivyake? Wapi imekatazwa kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona simple tu kaka yangu..kama hupendi mienendo yake achana nae, utapata ambae ataendana na wewe atafata jinsi unavyotaka.demi tatizo sio kuwa na marafiki wa jinsia zote. Muda mwingi yuko pamoja na rafiki zake inakua shida kufanya kitu flani halafu inaweza kuchangia migogoro. Mbona wanaume tukiwa na rafiki wa jinsia zote hamtaki