Kwenye picha hapo chini ni mwaka 1957 ndani ya mji wa Virginia, USA.
Huyu bwana mdogo aliiba gari ya babake na kwenda misele, bahati mbaya gari ikapata ajari.
Apo Dogo aliamua kupiga pafu moja ya mwisho ya sigara ili aone jinsi gani anasolve huu msala.