MTOTO JOJO

Awana tofauti na wengine jitaidi ukamate mmoja kama unaishi dar kuna mmoja anajiuza hapa banana kwenye bar moja inatwa java yuko vizuri sana kama mzungu
Kumbe Java panauzwa vitu vingi!?😱 Mimi hufuata mbuzi katoliki tu, itabidi nianze kuangaza macho😀😀
 
Kuna Albino mmoja nilikuwa na mkubali ila sasa kipindi hiko ndio kukata viungo kumeshamiri, nikaamua kukausha tuu maana nikahisi nia yangu nzuri ingetafsiriwa vibaya kwa wakati huo.
Asee iliniuma sana
Wasiwasi ndio akili ungeisha kweli ndugu yangu wabongo wape picha tu maneno wataweka wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…