Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
Rafiki yangu kanipigia simu muda si mrefu anadai amemkuta aunt yake ambaye ni muathirika wa gonjwa la ukimwi akiwa anamlisha mtoto chakula anachokula yeye teena kwa kutumia kijiko hichohicho anachotumia yeye,sasa anahofu kuhusu afya ya mtoto wake kwamba atakua salama na je hawezi kudhurika?