Mtoto haramu katika familia

Mtoto haramu katika familia

Watoto wa nje wakiwa na uwezo kiuchumi wote mna surrender na kujifanya mpo karibu nao kwa hali na mali ila wakiwa kinyume chake ndio mnajifanya kuwaona wapo tofauti na nyie, pumbavuuuu
 
Hebu kasome tena huu uzi...hapo tumezungumzia watoto wa nje in a negative waya na positive way...
Hali kadhalika watoto wa ndani tumewazungumzia positively na negatively...
Naona umekasirika sasa sijui wewe upo wapi hapo. ?
 
Mtoto wa haramu sometimes sio DNA mkuu,hata ukimdhulumu mtu kitu au hela ikakupa shibe ya kujaza mimba,huyo mtoto ni haramu pia
 
Huwa najiwaziaga tu Ujinga fulani hivi mara nyingine.

Kwa mfano, kwa mfano yaani

Mkemia Mkuu wa Serekali au Waziri husika aseme tumetoa Ofa ya kupima DNA nchi nzima kwa hapo ulipo
 
Utaona wamama watakavyosimama kidete kupinga....wataenda Beijing kwa Toyo..[emoji23][emoji23]
 
Hebu kasome tena huu uzi...hapo tumezungumzia watoto wa nje in a negative waya na positive way...
Hali kadhalika watoto wa ndani tumewazungumzia positively na negatively...
Naona umekasirika sasa sijui wewe upo wapi hapo. ?
Nipo bar
 
Nyumbani tupo wanaume watatu wawili tumesoma, mmoja alikataa shule darasa la pili, hajui hata kusoma lakini ni copy ya mzee ina maana mama alichepuka kwetu sisi wawili.?
 
Mtoto haramu anaweza kuwapiga chini watoto halali ili apete. Ni katika ulimwengu wa roho.
 
Nyumbani tupo wanaume watatu wawili tumesoma, mmoja alikataa shule darasa la pili, hajui hata kusoma lakini ni copy ya mzee ina maana mama alichepuka kwetu sisi wawili.?
I can't say yes or not.... simply, take your mom to coffee shop and ask her about that with very soft language....I hope that she will reveal everything..[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom