habar ndugu. mim ni mzaz wa mtoto mwenye umri wa miez saba sasa ila haongezeki uzito kwa haraka. mara kwa mara nkimpeleka kliniki huongezeka gtam chache sana au kilo hubaki hapo hpo. sasa anamiez saba lkn bdo ana kilo tano. tatizo ni nini au tiba yake ni ipi? Naomba mnishauri.