Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule.
Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni.
Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia?
Mtoto: Baba elimu haina mwisho ila bagia mwisho wake saa nne 4.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.