Kuna gojwa jipya limeibuka, watoto wanatingisha vichwa then wanakufa, kama vipi tafuta magazeti ya leo yameandika hiyo habari
Ni kweli kuna gazeti liliandika hivyo bt silikumbukikm unafanya utani ktk hili Mungu akurehemu.
Mwanangu wa kike mwenye miezi 6 amedevelop tabia ambayo nadhani ni zaidi ya jambo la kawaida.ameanza kutingisha kichwa kwa namna ile mtu afanyavyo kuonyesha kukataa jambo.mwanzo tuliona ni mchezo tu kavumbua.lakinisasa hali hiyo ianafanyika mara kwa mara na kilichotushtua inatokea hata anapokuwa usingizini.tunafikiri tufanye nini.kesho tutakwenda hospitali kuwaona madaktari.mwenye kujua case kama hii au kutupa medica explanation atusaidie maana hofu inatushika.asanteni madaktari
nimemuona Dr Hameer pale kariakoo amemchunguza mtto na kusema hana tatizo.kutokana na wasiwasi wetu akasema tumwone pia Dr.Abdallah? naye atoe maoni yake.tumemwona naye hakuona shida ila akasema ungefanyika uchunguzi mkubwa kwenye ubongo ila kasema kwa mtoto mdogo kama huyu harecomend.kwa hiyo wamesema so far hakuna tatizo ila tuendelee kumuobserve.asante tuzidi kumwombea mwanangu
Pole sana ndugu yangu,huu ni ugonjwa mpya. Ni only one of the many side effects za chanjo.The nervous system some where in the brain has been destroyed.Wengi hatukujua side effects za chanjo tukazikubali kichwa kichwa ,and the worst is still to come.Nakushauri umpeleke aombewe,hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu.
ni kweli jamani imeandikwakm unafanya utani ktk hili mungu akurehemu.
Nakushukuru sana ndugu.mimi ni mkristo mkatoliki na najua kuwa Mungu ndiye anawapa maarifa madaktari na kwamba wao hutoa dawa lakini anayetibu ni Mungu mwenyewe na hata sasa naomba wakati huo nikiwaona wataalamu.sasa hili la kusema nimpeleke mwanangu akaombewe sijui unamaanisha nini? kama unamaanisha kwenda kwa walokole,basi mimi siamini katika uchawi mkuu.lile la side effect za chanjo ni la kuangalia lina weza kuwa na some truth tutafatilia bado kwa madaktari na siyo kwa waombezi.kama nimekuwa rude nisamehePole sana ndugu yangu,huu ni ugonjwa mpya. Ni only one of the many side effects za chanjo.The nervous system some where in the brain has been destroyed.Wengi hatukujua side effects za chanjo tukazikubali kichwa kichwa ,and the worst is still to come.Nakushauri umpeleke aombewe,hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu.
MMRV huwa zinasababisha seizures.Chanjo zipi hizo? Tafadhali tujuze ili tupate ufahamu zaidi