Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

Mwanasazi

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
239
55
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke ana mdekeza sana mtoto wake(kike), kila wanapokuwa wamekaa mama na uncle mtoto anatakaa kukaa katikati, na inafikia hadi kulala usiku mtoto anataka kulala katikati (mtoto ni wa umri wa miaka 7 anasikia na anaelewa vyote vinavyoongelewa) mama kwa kuwa hataki kumuudhi mtoto wake anamkubalia vyote anavyotaka, kilachomfanya mpaka akaleta kwenye jamvi hili ni siku moja alienda kulala ilipofika usiku mtoto akalilia kulala na mama yake na uncle atoke, uncle kwa kutotaka asimuudhi demu wake maana mtoto akilia na mama anakuwa hana raha then uncle ikabidi atoke ampishe mtoto na uncle akalala sehemu nyingine. Tutoe ushauri kuhusu haya mahusiano, ushauri uegemee sana kisaikolojia na kimahusiano.
 
mahusiano ya aina hii huwa ni ngumu sana i see!tena huwa balaa zaidi wakishaoana ndo doh!kila mtoto anahisi mzazi wake ndo better of th other!
la msingi ni wao wazazi kuplay their part vry wisely!
 
mtoto wa jinsia gani? kwa vyovyote vile kulala na mtoto wa umri huo chumba kimoja si vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Kiukweli ni mbaya sana ku do tendo hilo ilihali mtoto 7yr yupo hapo.tenawanamfunisha tabia mbaya n wanamharibu kisaikolojia.niheri mama huyo amwambie mtoto huyu ni baba yako kuliko kasema huyu ni ucle wako.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Huyo mtoto nampa big up sana...
Hao mahawara wanajihalalishia mchezo mchafu wakati hawana ndoa na ndio maana mtoto hatoi heshima yoyote...
Laiti kama angekuwa anamtambua kama baba wala asingekuwa na kiherehere cha kutaka kulala na mama yake.
 
Malezi mabaya tu vipi mtoto wa miaka 7 akae asikilize maongezi ya wakubwa. Pili umri huo tayari anatakiwa asilale na wazazi wake.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Labda mtoto ni protective kwa mama yake sababu anaona ma anko wengi wanapita tu but no one is putting a ring on her mother. Na mtoto wa uncle nani analea? Hiyo tabia ya kuleta wanaume nyumbani bila commitment ni hatari kwa mtoto . that being said, she is too old to be sleeping with her mama.

Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke ana mdekeza sana mtoto wake(kike), kila wanapokuwa wamekaa mama na uncle mtoto anatakaa kukaa katikati, na inafikia hadi kulala usiku mtoto anataka kulala katikati (mtoto ni wa umri wa miaka 7 anasikia na anaelewa vyote vinavyoongelewa) mama kwa kuwa hataki kumuudhi mtoto wake anamkubalia vyote anavyotaka, kilachomfanya mpaka akaleta kwenye jamvi hili ni siku moja alienda kulala ilipofika usiku mtoto akalilia kulala na mama yake na uncle atoke, uncle kwa kutotaka asimuudhi demu wake maana mtoto akilia na mama anakuwa hana raha then uncle ikabidi atoke ampishe mtoto na uncle akalala sehemu nyingine. Tutoe ushauri kuhusu haya mahusiano, ushauri uegemee sana kisaikolojia na kimahusiano.
 
mtoto anakuwa sehemu ya kumlinda mama ake kwa kujibadilishia wanaume ndio maana hawi wazikwa mtoto,kifupi ni muhuni sana
 
aiya! movi za kibongo zinaharibu watoto must kuna mahali kid aliona mtoto ana do dat thats y anajaribu theory
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom