Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
MziziMkavu kaka kwanza habari za siku na kheri ya Xmas! Uko sahihi lakini ulemavu uko wa aina mbili wa positive results na negative results, ule wa positive binadamu huchukulia kama majaliwa mema na ule wa negative binadamu huchukulia kama majaaliwa mabayaAmebarikiwa kuwa na nywele ndefu huyo mtoto mzuri. mkuu mshana jr sio ulemavu huu.
Huu waweza kuwa aina mojawapo ya ulemavu