Tulizana,na jaribu kumpa mama na kijana maneno ya faraja atulie kwa kuwa masaa karibu matano yamepita, ile dozi ya kwanza imeishapungua kiasi fulani, ila asirudie kumpa dozi nyingine saa nne usiku,usimpe maziwa kwa kuwa dawa haiko tumboni kwa sasa mpe maji kwa wingi.msiwe na wasi wasi hakuna hatari ki hivyo!.Pamoja sana.Wakuu toeni msaada wa haraka. Mtoto wa miaka 8 aliandikiwa amoxyline (spelling) capsule moja kila masaa 8. mzazi wake amempa saa 8 leo na ilikuwa apewe tena saa nne usiku. Kwa bahati mbaya wakati anampa dawa saa 12 jioni akawa amempa tena amoxyline badala ya saa nne usiku. Mzazi amepanic sana. Naombeeni msaada je apewe maziwa kupunguza makali ya dawa au kuna first aid nyingine? mtoto amechangamka tu. Tafadhali saidia. MziziMkavu njoo huku please.