Mtoto aliyepanda ndege kwenda Zanzibar bila kuonekana ametoweka tena

Inaelekea sasa kuwa nilichoona kupitia ITV akisema Mama mzazi wa mtoto huyu kupotea kwake si kwa KAWAIDA inawezekana kuwa kweli!!!! Mungu asaidie apatikane!!!!
 


Hako katoto katakua kanapepo,niliskia kwenye taarifa ya habari juzi hakana stori na mtu ila kakiona wanyama ndo kanapiga nao stori...eti kanapiga stori na nyau
 
Ushauri wangu wa kibinadamu. Nadhani ni vizuri kwako na ndugu zako wa karibu ikiwa utajiepusha kudhihaki nguvu ambazo huna uwezo juu yake. Unaweza kujiweka katika hatari kubwa usiwe na uwezo wowote wa kujiokoa wewe na watu wako.

Masuala ya kiroho yana nguvu zake na huwezi kudeal nayo kwa elimu na maarifa ya ujanja wa mjini ama madarasani. Hii ni elimu nyingine kabisa inayohitaji uhalisia na si ujanja ujanja. Wewe nenda watukane wachawi wakati wanakuzidi nguvu uone mziki wake.

Nguuv anayotumia Mchungaji Gwajima wewe huna uwezo nayo. Ni vizuri ukajiepusha na makundi ya kishabiki kwa sababu, unaweza kupata usiyoysatarajia na usielewe mlango wa kutokea.

Ni ushauri wangu wa kibinadamu kwako. Jioni njema.
Nadhani mchungaji gwajima hahaha
 

Samahani sana but huyu gwajima anasemaga vitu vikubwa sana so ulimi umeniteleza i
 


Mtoto yule alipaswa kwanza kupelekwa kwa wataalamu wa magonjwa ya akili, yupo deliquent hivyo ni muhimu kabla ya kwenda nyumbani wangemuadmit huko.lakini kwa kuwa sisi kila jambo tunachukulia poa ndio majibu yake hayo sasa,kwanza mpaka sasa hatujui kwa nini aliibukia airport zanzibar, tupatiwe majibu hayo kwanza muda unakwenda sana,
 
Tanzania kwa vituko balaa sasa issue sio chadema tena tunahamia kwa mtoto wa ndege
 
Mmm
wasipokuwa makini anaweza kupotea asionekane tena. Something mustbe done
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…