Aisee,kazzzi kweli.Msikiti huo naujuwa.
Ngoja nimuulize mtu aliepo jirani pale.
Sitaki ku comments zaidi ngoja usiku nisikilize taarifa ya Habari au kama nikipata wasaa nipite maeneo yale niulizie mtu.
Ili hata niki comments niwe na hoja ya msingi.
Cha msingi hapo ni kuuliuza familia vizuri kwanza kama kuna mtafaruku kati ya wazazi wa mtoto,la pili ni kuangalia kama wanauhasama gani na majirani wa eneo husika juu ya Imani za dini.
Haya mawili ndio yatatoa mwanga juu ya hili tukio.
Ningependa watu tu Comments baada ya kuwa na pa kuanzia na sio tukurupuke tu,naimani hata Faruk Kareem wa ITV ataelezea hili leo usiku kwenye taarifa ya habari