Mtoto akisali

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Mtoto akisali mbele ya wazazi mda wa kulala; Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarimu, mbariki huyu kijana anayekujaga kucheza mieleka na dada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya suruali yake,mbaruku na kaka aache tabia ya kutema makoozi ovyo bafuni, Wabariki wadada walio uchi ndani ya simu ya baba ili wapate nguo, mwisho wabariki wanaume wanaokuja kulala na mama wakati baba yupo safariniili wawe na kwao amen.
 
Ha ha haa haaaaaaaaaaaaaaaaaa! Sijui nani anamkamata uchawi mwenzake hapo
 
Aisee hiyo kali. Itabidi tuu wote muwe wapole.
 

Hiyo kali!
 
nimeipenda wasiokua na nguo kwenye sim ya mzee wapate nguo

then jaman msiawape watoto wasalishe ni noma au muwape practice in secret b4
 
kaka anajichuaga bafuni,dogo kajua makohozi.......ahahaa!!!kaz kwelikweli
 
Kati ya wote hapo baba ni clean kwa kuwa ni picha tu ameweka.
 
ha ha ha ha hahah walau baba ana sababu ya kuanzisha noumer:smash:
 

huyo mtoto anatakiwa apelekwe mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…