Mtoto achomwa kiganja chake na mama yeke kisa kudokoa maharage

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
CdckVUAWwAEMmpa.jpg


Mtoto mwenye miaka sita achomwa moto kiganja chake na mama yake mzazi kwa madai ya kudokoa Maharage huko Mkoani Songea.

Mama huyo aliyemchoma moto anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo kikuu cha polisi Songea.
 
Hii niliona Jana ITV. Yule mama jinsi alivyojitetea nimeshindwa kuelewa aisee
 
Kweli dunia haina usawa ukikuta wamama wanavohangaikia watoto wao wale chakula,wengine wanawaunguza moto mikono,may be hakushiba mtoto,japo yaywezekana mama hakuw na nia ya kumfanya hivo mwanae ila imetokea tu katika harakati za kumkanya mtoto,
 
Back
Top Bottom