Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,205
- 1,463
Habari za mchana GT's
Mtoto Abdallah ambaye hadithi Yake imekuwa ikiandikwa kwa muendelezo ktk gazeti la Mwananchi na mitandaoni Leo amebadili historia ya maisha Yake.
Baada ya Serikali kuhamisha watu waliokuwa wanaishi MABONDENI kwa kuhofia usalama wao na sababu za mazingira, mtoto huyu alikuwa anabeba story karibu kila siku kwenye gazeti la Mwananchi. Story hiyo ilikuwa na mahojiano ikionesha kila siku anaamkia kwenye kifusi na kwenda shule.
Leo baada ya eneo Lao la bondeni kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa zilizonyesha usiku wa Leo, mtoto huyo ameamshwa na MAFURIKO.
Naamini gazeti la Mwananchi litaendeleza hii tamthilia kwa upande wa pili wa shilingi.
Pole sana mtoto Abdallah, poleni sana wahanga wa MAFURIKO.