AbaMukulu JF-Expert Member Jan 1, 2018 2,048 3,568 Oct 7, 2019 #41 barafuyamoto said: Tanzania.... Click to expand... Kumbe Tanzania ni mkoa. Nilikuwa sijui hilo mkuu.
Hazard CFC JF-Expert Member Apr 7, 2015 16,615 38,589 Oct 7, 2019 #42 Chakula kikipendwa lazima kiliwe popote... hata ndizi,wali,biriani zina asili ya eneo flani lakini zinaliwa popote pale kwa sasa barafuyamoto said: Mtori kimekuwa chakula cha kibongo...ukienda mbeya unakikuta, dodoma kipo dar ndio balaa mwanza usiseme... Click to expand...
Chakula kikipendwa lazima kiliwe popote... hata ndizi,wali,biriani zina asili ya eneo flani lakini zinaliwa popote pale kwa sasa barafuyamoto said: Mtori kimekuwa chakula cha kibongo...ukienda mbeya unakikuta, dodoma kipo dar ndio balaa mwanza usiseme... Click to expand...
Hazard CFC JF-Expert Member Apr 7, 2015 16,615 38,589 Oct 7, 2019 #43 Shiro pia vinaanza kupendwa tanzania wide... Shukrani ziende kwa fred uisso mkali wa maspata sapta
nduza JF-Expert Member Feb 7, 2019 1,595 2,498 Oct 7, 2019 #44 Kinywaji aina ya mtori!! MIXOLOGIST said: Habarini wakuu Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani? Click to expand...
Kinywaji aina ya mtori!! MIXOLOGIST said: Habarini wakuu Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani? Click to expand...
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,330 Oct 7, 2019 #45 NAKWEDE said: Sio kinywaji na chakula Mr. MTUI Darmian MENGELENI KWETU Mangi flani hivi Click to expand... Anaulizia ndevu kwa Osama Huyo hajui kwamba mtori umeanzia Marangu.
NAKWEDE said: Sio kinywaji na chakula Mr. MTUI Darmian MENGELENI KWETU Mangi flani hivi Click to expand... Anaulizia ndevu kwa Osama Huyo hajui kwamba mtori umeanzia Marangu.
tweenty4seven JF-Expert Member Sep 21, 2013 15,672 19,187 Oct 7, 2019 #46 Waziri wa Kaskazini said: Mtori ukipikwa vizuri ukinywa ndani ya mwezi mmoja kitambi kinakuja bila shida..... Click to expand... Na cd4 kupanda kwa kasi sana
Waziri wa Kaskazini said: Mtori ukipikwa vizuri ukinywa ndani ya mwezi mmoja kitambi kinakuja bila shida..... Click to expand... Na cd4 kupanda kwa kasi sana
goroko77 JF-Expert Member Jul 9, 2019 8,855 12,985 Oct 7, 2019 #47 Aisee huwa kila asbh naitandika hyo mtori kwa mam claree hapa singidani
F Favoured one Senior Member Jun 16, 2017 142 80 Oct 8, 2019 #48 Hazard CFC said: Mtori uchagani Ng'ande uchagani Mtori ni ng'ande iliyochangamka Click to expand... Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje?
Hazard CFC said: Mtori uchagani Ng'ande uchagani Mtori ni ng'ande iliyochangamka Click to expand... Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje?
Hazard CFC JF-Expert Member Apr 7, 2015 16,615 38,589 Oct 8, 2019 #49 Ikizubaa tunaitia choroko au maharage tunaibatiza jina la shiro Favoured one said: Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje? Click to expand...
Ikizubaa tunaitia choroko au maharage tunaibatiza jina la shiro Favoured one said: Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje? Click to expand...
F Favoured one Senior Member Jun 16, 2017 142 80 Oct 8, 2019 #50 Hazard CFC said: Ikizubaa tunaitia choroko au maharage tunaibatiza jina la shiro Click to expand... Asante mkuuu
Hazard CFC said: Ikizubaa tunaitia choroko au maharage tunaibatiza jina la shiro Click to expand... Asante mkuuu