Nakumbuka mwaka 2002 Kombe la dunia la kabumbu lilifanyika nchini Japan kwa kushirikiana na Korea Kusini
Moja ya viwanja vikubwa vilivyotumika uliitwa "**** Moto"(ashakumu si matusi)
Ubelgiji ilishiriki fainali hizo,Walikuwepo wachezaji wawili wa Ubelgiji ndugu wenye asili ya DRC,Mmoja aliiitwa HENRY MPENZA mwingine MBOO MPENZA
Siku walifanyia mazoezi kwenye uwanja wa Kumamoto ktk kujiandaa na mechi za fainali hizo,Moja ya Gazeti liliweka habari kwa njia ya picha na kuandika Caption
"Mboo ndani ya Kumamoto"