Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 758 Reaction score 1,347 Jun 23, 2024 #1 Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata?
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,099 Reaction score 5,883 Jun 23, 2024 #2 Doto12 said: Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata? Click to expand... kinafuata IB
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 725 Reaction score 1,377 Jun 23, 2024 #3 Nazi Ignition said: kinafuata IB Click to expand... Mbona kimeshuka sio 2c
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jun 23, 2024 #4 Annie X6 said: Mbona kimeshuka sio 2c Click to expand... Itakua 2C
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,162 Reaction score 22,092 Jun 23, 2024 #5 Doto12 said: Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata? Click to expand... Katika matamshi ni two B ,lakini kwa kuandika ulitakiwa uandike IIB,ikipanda daraja unaenda IB
Doto12 said: Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata? Click to expand... Katika matamshi ni two B ,lakini kwa kuandika ulitakiwa uandike IIB,ikipanda daraja unaenda IB
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 725 Reaction score 1,377 Jun 23, 2024 #6 Bueno acha mambo ya ku like sema neno
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,162 Reaction score 22,092 Jun 23, 2024 #7 Annie X6 said: Mbona kimeshuka sio 2c Click to expand... Mkuu Usijibu usichokijua,jifunze kukaa kimya
Annie X6 said: Mbona kimeshuka sio 2c Click to expand... Mkuu Usijibu usichokijua,jifunze kukaa kimya
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 725 Reaction score 1,377 Jun 23, 2024 #8 digba sowey said: Katika matamshi ni two B ,lakini kwa kuandika ulitakiwa uandike IIB,ikipanda daraja unaenda IB Click to expand... Na je mnapanda walimu tu au kama zote?
digba sowey said: Katika matamshi ni two B ,lakini kwa kuandika ulitakiwa uandike IIB,ikipanda daraja unaenda IB Click to expand... Na je mnapanda walimu tu au kama zote?
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,162 Reaction score 22,092 Jun 23, 2024 #9 Annie X6 said: Mbona kimeshuka sio 2c Click to expand... Mkuu Wewe ni mtumishi ?specifically mwalimu?
Annie X6 said: Mbona kimeshuka sio 2c Click to expand... Mkuu Wewe ni mtumishi ?specifically mwalimu?
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 725 Reaction score 1,377 Jun 23, 2024 #10 digba sowey said: Mkuu Usijibu usichokijua,jifunze kukaa kimya Click to expand... Sorry digba sowey
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jun 23, 2024 #11 Annie X6 said: Bueno acha mambo ya ku like sema neno Click to expand... Nimesema inafuata 2C
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,580 Jun 23, 2024 #12 digba sowey said: Mkuu Wewe ni mtumishi ?specifically mwalimu? Click to expand... Wewe unejua tupe Jibu au tukupe mji?
digba sowey said: Mkuu Wewe ni mtumishi ?specifically mwalimu? Click to expand... Wewe unejua tupe Jibu au tukupe mji?
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,099 Reaction score 5,883 Jun 23, 2024 #13 Nazi Ignition said: kinafuata IB Click to expand... kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB
Nazi Ignition said: kinafuata IB Click to expand... kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 758 Reaction score 1,347 Jun 23, 2024 Thread starter #14 Mbona sioni changes kwenye mfumo??
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 758 Reaction score 1,347 Jun 23, 2024 Thread starter #15 Nazi Ignition said: kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB Click to expand... Asante sana Nazi Ignition
Nazi Ignition said: kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB Click to expand... Asante sana Nazi Ignition
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 758 Reaction score 1,347 Jun 23, 2024 Thread starter #16 Nazi Ignition said: kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB Click to expand... Sioni badiliko
Nazi Ignition said: kinafuata Mwalimu mwandamizi daraja B kinafuata Mwalimu Mkuu daraja IIB kinafuata cha mwisho Mwalimu Mkuu daraja IB Click to expand... Sioni badiliko
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,162 Reaction score 22,092 Jun 23, 2024 #17 Bueno said: Wewe unejua tupe Jibu au tukupe mji? Click to expand... Nishajibu mbona mkuu,soma tu utapata jibu,mimi mwalimu najua mtiririko wa upandaji madaraja ya walimu
Bueno said: Wewe unejua tupe Jibu au tukupe mji? Click to expand... Nishajibu mbona mkuu,soma tu utapata jibu,mimi mwalimu najua mtiririko wa upandaji madaraja ya walimu
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,849 Reaction score 3,756 Jun 23, 2024 #18 Mserereko aliokuwa anauimba Dr Msonde ndio huu?
Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 487 Reaction score 765 Jun 23, 2024 #19 Doto12 said: Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata? Click to expand... Bila shaka wewe ni ajira ya 2000
Doto12 said: Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata? Click to expand... Bila shaka wewe ni ajira ya 2000
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,099 Reaction score 5,883 Jun 23, 2024 #20 Bueno said: Nimesema inafuata 2C Click to expand... Wewe unakomalia kitu ambacho hukijui,, jifunze kujifunza kwanza ndo uje na majibu. ukiendelea na tabia hiyo utakuwa mpumbavu.
Bueno said: Nimesema inafuata 2C Click to expand... Wewe unakomalia kitu ambacho hukijui,, jifunze kujifunza kwanza ndo uje na majibu. ukiendelea na tabia hiyo utakuwa mpumbavu.